Pages

Pages

Pages

Tuesday 20 May 2014

RASMI! LOUIS VAN GAAL ATEULIWA KUWA KOCHA MKUU WA MANCHESTER UNITED, RYAN GIGGS NDIYE KOCHA MSAIDIZI

Dutch of class: Van Gaal will first coach Holland at the World Cup
Kwanza Va Gaal anatarajiwa kuiongoza Uholanzi kombe la dunia kabla ya kujiunga na Man United
HATIMAYE Klabu ya Manchester United amemteua Louis van Gaal kuwa kocha mkuu mpya kufuatia kufukuzwa kazi kwa David Moyes mwezi uliopita.
Mholanzi huyo amechukua nafasi ya aliyekuwa kocha wa muda wa Man United,  Ryan Giggs aliyeteuliwa kuwa kocha msaidizi.
Frans Hoek na Marcel Bout wajajiunga na Van Gaal kama makocha wasaidizi na mholanzi huyo anakuwa kocha wa kwanza kutoka nje kuiongoza Man United.
Van Gaal ataanza kazi rasmi baada ya kumalizika kwa fainali za kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil ambako anaiongoza Uholanzi akiwa kocha mkuu.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com

CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment