Pages

Pages

Pages

Monday 12 May 2014

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA MANDERA

01-IMG_0795Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa rasmi na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo  Ndugu Ahmed Kipozi mara baada ya kuwasili kwenye Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mandera iliyoko wilayani Pagamoyo tarehe 10.5.2014.02-IMG_0797Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mandera Ndugu Rose Ummy akisalimiana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati alipowasili kwenye shule hiyo tarehe 10.5.2014.
06-IMG_0850Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifuatilia jaribio la somo la Fizikia (Hooke’s Law: Inayosema ‘The force needed to extend or compress a spring by some distance is proportional to that distance’) lililokuwa likifanywa na mwanafunzi Mwajuma Mwanankuta wa Kidato cha 4 katika Shule ya Sekondari ya wasichana ya Mandera tarehe 10.5.2014.10-IMG_0881Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mandera iliyoko Wilayani Bagamoyo wakiimba wimbo wa shule kwa ajili ya kumkariisha Mlezi wa shule hiyo Mama Salma Kikwete alipotembelea shule hiyo tarehe 10.5.2014.22-IMG_0979Mke wa Rais na Mlezi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mandera iliyoko wilayani Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani Mama Salma Kikwete akizungumza na wanafunzi wa shule hiyo mara baada ya kutembelea maeneo mbalimbali ya shule tarehe 10.5.2014.26-IMG_1068Daktari Hadija Mwamtemi aliyefuatana na Mama Salma Kikwete anaonekana akimhudumia mwanafunzi  (jina lake halikuweza kupatikana) wa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Mandera aliyekuwa mgonjwa wakati Mama Salma alipotembelea shuleni hapo tarehe 10.5.2014.
PICHA NA JOHN LUKUW
CHANZO FULL SHANGWE BLOG

No comments:

Post a Comment