Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 19 May 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI JAPAN JIONI HII KUANZA ZIARA YA SIKU SITA

1.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Balozi wa Tanzania, nchini Japan, Salome Sijaona, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Aneda, nchini Japan kwa ajili ya kuanza ziara ya siku sita. Kulia ni mke wa makamu, Mama Asha Bilal. Picha na OMR2Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Aneda, kwa ajili ya kuanza ziara ya siku sita. Kushoto kwake ni aliyekuwa Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, (nyuma yao) ni Mke wa Makamu, Mama Asha Bilal na Balozi wa Tanzania nchini Japan, Salome Sijaona. Picha na OMR


CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment