Pages

Pages

Pages

Sunday 18 May 2014

KATIBU MKUU WA CCM TAIFA NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWASILI KALIUA, ZAHANATI YA USINDI IMEKAMILIKA LAKINI HAIJAANZA KAZI KISA NYUMZA ZA WATUMISHI

1Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Usindi wilayani Kaliua mahali ambapo amepokelewa.2Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wana CCM pamoja na wananchi mara baada ya kuwasili Kaliua4Mh. Samwel Sitta Mbunge wa jimbo la Urambo Mashariki na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki akisalimiana na Profesa Juma Kapunya Mbunge wa jimbo la Urambo Magharibi leo asubhui katika kijiji cha Usindi kata ya Ushokora wilayani Kaliua wakati wa pamokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitokea Wilaya ya Urambo.5Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Prisca Kaholwe Ofisa mtendaji wa kijiji cha Uhuru wilayani Urambo wakati alipokagua ujenzi wa Zahanati ya kijiji hicho.6Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na viongozi mbalimbali wa a CCM wilayani Kaliua wakielekea kwenye ukaguazi wa ujenzi wa nyumba za watumishi wa  Zahanati ya Kijiji cha Usindi Kata ya Ushokora wilayani Kaliua.7Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika ujenzi wa nyumba za watumishi wa zahanati ya kijiji cha Usindi.8Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiendelea na ukaguzi wa ujenzi wa nyumba za watumishi wa katika zahanati ya Usindi   nyuma yake ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi.9Jengo la zahanati ya Usindi kata ya Ushokora ambalo limekamilika lakini bado halijaanza kazi kwa visingizio vya kutokuwepo nyumba za watumishi.
CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment