Pages

Pages

Pages

Sunday 18 May 2014

RAIS KIKWETE AMFARIJI JAJI WARIOBA KWA KUFIWA NA MKWE WAKE

w1Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu alipokwenda kuhani msiba wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,    Oysterbay jijini Dar es salaam jana Mei 17, 2014
w2Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,   Oysterbay jijini Dar es salaam jana Mei 17, 2014
w3Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji wanafamilia bada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,  Oysterbay jijini Dar es salaam jana Mei 17, 2014
w4Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na Jaji Joseph Warioba na mkeweMama Evelyne Warioba walipokwenda kuhani na kutoa heshima za mwisho katika msiba wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,   Oysterbay jijini Dar es salaam jana Mei 17, 2014
w5Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mama Evelyne Warioba  alipokwenda hunai msiba wa mama yake mzazi Marehemu Hedwig Laurent Ojjik  Oysterbay jijini Dar es salaam jana Mei 17, 2014
CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment