CHANZO FULL
SHANGWE
Twitter Buzz
....
...
IMETOSHA!
Featured post
KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO
Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Tuesday 20 May 2014
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AANZA ZIARA MKOA WA SINGIDA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kushoto na Mbunge wa jimbo la Manyoni Magharibi Mh. Paul Lwanji wakinyanyua bati juu kuwapatia mafundi wanaojenga madarasa katika shule ya sekondari ya Mgandu wakishiriki ujenzi wa shule hiyo wakati Katibu mkuu huyo alipokagua ujenzi wa madarasa katika shule hiyo ikiwa ni ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kwa pamoja na wananchi, Abdulrahman Kinana yuko katika ziara ya mikoa ya Singida, Tabora na Manyara ambapo leo amewasili katika mkoa wa Singida baada ya kumaliza ziara yake katika mkoa wa Tabora akiongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-ITIGI-SINGIDA)Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifukia mti mara baada ya kupanda mti katika shule ya sekondari ya Mgandu leo.Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akipanda mti katika shule ya sekondari ya Mgandu.Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akipiga kifaa cha mziki wa ala wenye asili ya watu makabila ya mkoa wa Singida.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua bwawa la umwagiliani katika kijiji cha Igala Itigi mkoani9 SingidaKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Mhandisi wa wilaya ya Manyoni Bw. Deus Magoma wakati akielezea kuhusu mradi wa bwawa la la kilimo cha umwagiliaji katika kijiji hicho.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wakati alipowasili katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Relini mjini Itigi mkoani Singida leo.Baadhi ya wana CCM waliohudhuria katika mkutano huo.Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Mh. Mgana Msindai akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara mjini Itigia mkoani Singida.Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano huo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment