Picha/Habari na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Vijana, Kazi na Ajira, Antony Mavunde Jumamosi hii amekuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la kujadili changamoto za ajira nchini lililoandaliwa na kipindi cha Campus Vibes cha Times FM na kuwahusisha wanachuo wa vyuo vya elimu ya juu mbalimbali nchini.

Mmoja wa wafanyakazi wa AccessBank (kulia) akitoa maelezo kwa baadhi ya wateja na wananchi mbalimbali wanaotembelea banda la banki hiyo katika Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki (wa pili kulia) akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwenye Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara 'Sabasaba' viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa TTCL Kanda ya Dar es Salaam, Jane Mwakalebela akiambatana naye.