Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 6 July 2016

AccessBank yawaletea wajasiliamali akaunti isiyo na gharama Sabasaba

Mmoja wa wafanyakazi wa AccessBank (kulia) akitoa maelezo kwa baadhi ya wateja na wananchi mbalimbali wanaotembelea banda la banki hiyo katika Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam. Mmoja wa wafanyakazi wa AccessBank (kulia) akitoa maelezo kwa baadhi ya wateja na wananchi mbalimbali wanaotembelea banda la banki hiyo katika Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa AccessBank (kulia) wakitoa maelezo kwa baadhi ya wateja na wananchi mbalimbali wanaotembelea banda la banki hiyo katika Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi wa AccessBank (kulia) wakitoa maelezo kwa baadhi ya wateja na wananchi mbalimbali wanaotembelea banda la banki hiyo katika Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wananchi wanaotembelea banda la AccessBank (kulia) wakihudumiwa ndani ya banda la banki hiyo katika Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wananchi wanaotembelea banda la AccessBank (kulia) wakihudumiwa ndani ya banda la banki hiyo katika Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam.Mmoja wa wafanyakazi wa AccessBank (katikati) akitoa maelezo kwa baadhi ya wateja na wananchi mbalimbali wanaotembelea banda la banki hiyo katika Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam. Mmoja wa wafanyakazi wa AccessBank (katikati) akitoa maelezo kwa baadhi ya wateja na wananchi mbalimbali wanaotembelea banda la banki hiyo katika Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wananchi wanaotembelea banda la AccessBank (kulia) wakihudumiwa ndani ya banda la banki hiyo katika Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wananchi wanaotembelea banda la AccessBank (kulia) wakihudumiwa ndani ya banda la banki hiyo katika Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wafanyakazi wa AccessBank (kulia) wakitoa maelezo kwa baadhi ya wateja na wananchi mbalimbali wanaotembelea banda la banki hiyo katika Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi wa AccessBank (kulia) wakitoa maelezo kwa baadhi ya wateja na wananchi mbalimbali wanaotembelea banda la banki hiyo katika Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wafanyakazi wa AccessBank wanaotoa huduma katika banda la banki hiyo kwenye Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja. Baadhi ya wafanyakazi wa AccessBank wanaotoa huduma katika banda la banki hiyo kwenye Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja.Ofisa Masoko wa AccessBank, Sijaona Simon (kulia) akizungumza na mmoja wa wageni waliotembelea Banda la AccessBank kwenye maonesho ya Sabasaba. Ofisa Masoko wa AccessBank, Sijaona Simon (kulia) akizungumza na mmoja wa wageni waliotembelea Banda la AccessBank kwenye maonesho ya Sabasaba.Baadhi ya wafanyakazi wa AccessBank wanaotoa huduma katika banda la banki hiyo kwenye Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja. Baadhi ya wafanyakazi wa AccessBank wanaotoa huduma katika banda la banki hiyo kwenye Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja.

BENKI ya 'AccessBank' inayoshiriki Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam imeendelea kutambulisha akaunti yake ya 'RAHISI' yenye mvuto mkubwa kwa wajasiliamali mbalimbali. 
Akizungumza leo kwenye Banda la AccessBank kwenye maonesho ya Sabasaba, Ofisa Masoko wa banki hiyo, Sijaona Simon alisema Rahisi akaunti ni miongoni mwa bidhaa zinazowavutia wajasiliamali wengi kutokana na muundo rahisi wa uendeshaji wa akaunti hiyo kwa wajasiliamali wa kawaida. 
Alisema akaunti hiyo inafunguliwa papo hapo tena bila gharama zozote kwa mteja mjasiliamali anayeitaji na hakuna gharama za uendeshaji huku ikiunganishwa na huduma za kibenki kwa kutumia simu ya mkononi ya mteja (AccessMobile). 
Alisema faida zingine za akaunti hiyo ni kwamba mteja anaweza kuweka na kununua muda wa maongezi bila makato na hata kuhamisha fedha zake.
"Akaunti ya Rahisi ni nzuri sana kwa Wajasiliamali wote maana inafaida lukuki waje katika banda letu lililopo ndani ya Sabasaba Hall namba 9 na 10 mkabala na Banda la Bodi ya Kahawa...kuna mambo mengi na mazuri tumewaletea Watanzania hivyo waje kushughudia," alisema Simon.

No comments:

Post a Comment