Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 14 September 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AAGIZA HALMASHAURI NCHINI KUWA NA ANWANI ZA MAKAZI



Msanii Mrisho Mpoto (MJOMBA) akitoa burudani wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwongozo wa Postikodi katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini Dodoma.

 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Christina Mdeme akiongea wakati wa wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa Postikodi katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Simbachawene akimueleza jambo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa Postikodi katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Miundombinu Prof. Norman Sigala akiongea wakati wa wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa Postikodi katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini Dodoma ambapo alisema uwepo wa anwani hizi utasaidia kuimarisha usalama nchini.
 Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula akiongea wakati wa wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa Postikodi katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini Dodoma ambapo alisema uwepo wa anwani hizi utasaidia utasaidia kupunguza migogoro ya ardhi nchini.
 Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mhandisi Edwin Ngonyani akiongea wakati wa wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa Postikodi katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini Dodoma ambapo alisema kazi ya kuwa na anwani za makazi ilianza zaidi ya miaka mitatu iliyopita na zoezi hilo lilekamilika nchi nzima.
 Balozi wa Anwani za Makazi Duniani Prof. Anna Tibaijuka akimkabidhi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anwani ya makazi wakati wa wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa Postikodi katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini Dodoma.
 Balozi wa Balozi wa Anwani za Makazi Duniani Prof. Anna Tibaijuka akimkabidhi Mwenyekiti wa Kamati ya Miundombinu Prof. Norman Sigala anwani ya makazi kwa niaba ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Dkt. Tulia Ackson wakati wa wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa Postikodi katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini Dodoma.
 Balozi wa Balozi wa Anwani za Makazi Duniani Prof. Anna Tibaijuka akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Simbachawene anwani ya makazi wakati wa wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa Postikodi katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiongea wakati wa wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa Postikodi katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini Dodoma ambapo alieleza umuhimu wa uwepo wa anwani za makazi na aliagiza halmashauri zote nchini kuanza kutumia anwani za makazi.
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizindua mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa Postikodi katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini Dodoma.
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine wa Serikali wakionesha vitabu vya mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa Postikodi katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini Dodoma.
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO






No comments:

Post a Comment