Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 9 May 2016

FASTJET YATWAA UBINGWA WA BONANZA LA SPORTS EXTRA


.Wachezaji wa Timu ya fastjet (wenye jezi nyeusi) wakichuana na wachezaji wa timu ya Diamond Trust Bank(DTB) wakati wa mashindano ya bonanza la fastjet sports Extra katika viwanja vya TCC Chang’ombe, Dar es Salaam hivi karibuni.

Wachezaji wa Timu ya fastjet (wenye jezi nyeusi) wakichuana na wachezaji wa timu ya Diamond Trust Bank(DTB) wakati wa mashindano ya bonanza la fastjet sports Extra katika viwanja vya TCC Chang’ombe, Dar es Salaam hivi karibuni



Wachezaji wa Timu ya fastjet wakisheherekea ushindi waliopata dhidi ya timu ya Diamond Trust Bank(DTB) kwenye  mashindano ya bonanza la fastjet sports Extra yaliyofanyika katika viwanja vya TCC Chang’ombe, Dar es Salaam hivi karibun

.Afisa Masoko na Mawasiliano wa fastjet, Lucy Mbogoro akionyesha cheti kilichozawadiwa kwa timu ya fastjet kama mshindi wa mashindano ya bonanza la fastjet sports Extra yaliyofanyika katika viwanja vya TCC Chang’ombe, Dar es Salaam hivi karibuni


Afisa Masoko na Mawasiliano wa fastjet, Lucy Mbogoro akionyesha cheti kilichozawadiwa kwa timu ya fastjet kama mshindi wa mashindano ya bonanza la fastjet sports Extra yaliyofanyika katika viwanja vya TCC Chang’ombe, Dar es Salaam hivi karibuni


No comments:

Post a Comment