Pages

Pages

Pages

Friday 21 August 2015

SERIKALI YA ZIMBABWE YATEGEMEA WAHUBIRI

Waziri wa Afya David Parirenyatwa (kushoto) akipokea dola 120,000 kutoka kwa muhubiri Walter Magaya
Serikali ya Zimbabwe inaendelea kukabiliwa na matatizo katika kuafikia malengo yake ya kifedha, kwa hivyo imeanza kuwategemea wahubiri maarufu wanaojitambulisha kama manabii.
Siku ya Alhamisi Waziri wa Afya David Parirenyatwa alipokea takriban dola 120,000 kutoka kwa Walter Magaya wa kanisa la PHD, ili kukarabati vituo vya afya.
Kwa sababu ya hali mbaya za kiuchumi, miujiza huvutia raia wengi na hivyo basi kuchangisha fedha nyingi kila Jumapili.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment