Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 4 July 2015

ROBOTI LAMUUA MFANYAKAZI WA KIWANDA CHA VOLKSWAGEN


Mfanyikazi mmoja katika kiwanda cha kutengeza magari aina ya Volkswagen nchini Ujerumani amefariki baada ya roboti kum'beba na kumuangusha katika chuma.
Marehemu mwenye umri wa miaka 22 alifariki hospitalini kufuatia ajali hiyo iliofanyika katika kiwanda kimoja kilichopo Baunatal yapata kilomita 100 kazkazini mwa Mji wa Frankfurt.
null
Volkswagen
Alikuwa akifanya kazi miongoni mwa wafanyikazi wa kandarasi wa kuiweka roboti hiyo wakati ilipomkamata kulingana na na kampuni hiyo ya Kutengeza gari ya ujerumani.
Hatahivyo Heiko Helwig amelaumu makosa ya binadaamu kama sababu ya tukio hilo badala ya roboti hiyo.
null
Roboti
Roboti hiyo hutumiwa kubeba vipuri katika kampuni hiyo.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment