Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 4 July 2015

RAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO MIAKA 50 YA USHIRIKIANO BENKI YA DUNIA NA TANZANIA, AFUNGUA MAONESHO YA 39 YA SABASABA

0000.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia moja ya shati la batiki lililoshonwa na mjasiria mali mwanamke Violet Mmanyi wakati Rais alipotembelea mabanda machache baada ya kufungua rasmi maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa Dar es Salaam maarufu kama sabasaba. (picha na Freddy Maro).

0000
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia trekta aina ya Ursus muda mfupi baada ya kufungua maonyesho ya 39 ya Biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam leo.Kushoto no Mkurugenzi wa biashara wa kampuni inayotengeneza matrekta hayo Bwana Wojciech Zachorowski.
00
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Benki ya Dunia kanda ya Afrika Bwana Makhtar Diop wakizindua kitabu cha picha kinachoonyesha ushirikiano wa miaka 50 kati ya Tanzania na Benki ya Dunia uliowezesha ukuaji wa uchumi na kuboresha maisha ya Watanzania walio wengi.Kulia ni Naibu Waziri wa Fedha Mh. Adam Malima.

No comments:

Post a Comment