Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 4 July 2015

NAIBU KAMISHNA ATEMBELEA BANDA LA TRA KATIKA MAONESHO YA 39 BIASHARA YA KIMATAIFA

01
Naibu Kamishna Mkuu wa Mmlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lusekelo Mwaseba akiangalia chati ya ukusanyaji wa Kodi kwa upande wa Tanzania Bara, alipotembelea Banda la Mamlaka hiyo katika Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam.

02
Naibu Kamishna Mkuu wa Mmlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lusekelo Mwaseba akiwaeleza jambo wanafunzi kutoka Shule ya Sekondari ya Jangwani waliopo katika banda hilo kwa ajili ya kujifunza juu ya Masuala ya Kodi.
03
Naibu Kamishna Mkuu wa Mmlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lusekelo Mwaseba akijadili jambo na wawakilishi kutoka Chuo cha Kodi (ITA) alipotembelea Banda la Mamlaka hiyo katika Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa Leo Jijini Dar es Salaam.
04
Naibu Kamishna Mkuu wa Mmlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lusekelo Mwaseba akiongea na wawakilishi toka MAXMALIPO waliopo katika banda la mamalaka hiyo ,ambapo aliwapongeza kutokana na ufanisi wao hasa katika kurahisisha ukusanyaji wa mapato kwa njia ya mtandao.
05
Naibu Kamishna Mkuu wa Mmlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lusekelo Mwaseba akiongea na mwananchi aliyefanikiwa kupata namba ya utambulisho kwa mlipa kodi (TIN) kwa muda wa nusu saa baada ya kutembelea banda hilo.
06
Naibu Kamishna Mkuu wa Mmlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lusekelo Mwaseba akisaini kitabu cha Mahudhurio Baada ya Kutembelea Banda la Mamlaka ya Mapato Tanzania katika Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA HASSAN SILAYO-MAELEZO

No comments:

Post a Comment