Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 22 July 2015

HIZI NDIZO NAKALA ZA KALE ZAIDI ZA QUR'AN


Chuo kimoja kikuu nchini Uingereza kimesema kuwa utafiti waliofanyia nyaraka za zamani katika maktaba yake, umeonesha kuwa huenda zikawa nakala za zamani sana duniani za koran.
Watafiti katika chuo cha Birmingham wanasma kuwa walishangazwa sana walipogundua kupitia uchunguzi wa miale ya radiocarbon kuwa nyaraka hizo kutoka kitabu kitakatifu cha waislamu Koran, zina umri wa zaidi ya miaka 1300,
wanasema kuwa mwandishi wa nyaraka hizo huenda alikutana ana kwa ana na mtume Muhammadau alikuwa miongoni mwa wanafunzi wake.
Nyaraka hizo ni miongoni mwa maelfu zingine za kale kutoka mashariki ya kati ambazo zilimilikiwa na mwana historia mzawa wa Iraq, Alphonse Mingana, aliyekabidhi kwa chuo kikuu hicho cha Birmingham katika miaka ya ishirini.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment