Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 1 June 2015

VIERA AORODHESHWA KUINOA NEWCASTLE

Patrick Viera
Aliyekuwa mchezaji wa Arsenal na Manchester City Patrick Vierra ameorodheshwa miongoni mwa watu wanne wanaotarajiwa kuchukua ukufunzi wa klabu ya Newcastle nchini Uingereza.

Steve McCleren aliyefutwa kazi na Derby County wiki iliopita pia ameorodheshwa.
Ukaguzi wa ni nani anayefaa kuchukua wadhfa huo utaanza wiki hii huku Viera ambaye ndio kocha wa vijana wasiozidi umri wa miaka 21 akiwa yuko tayari kujipima nguvu katika ligi hiyo ya Uingereza.
Viera alishinda kombe la dunia na timu ya taifa ya Ufaransa mwaka 1998, mbali na mataji matatu ya ligi pamoja na mataji manne ya FA.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment