Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 4 June 2015

KISIMA CHA MAFUTA CHALIPUKA, MOTO WAUA 96 GHANA

Mlipuko wa moto katika kituo cha mafuta Accra, Ghana
Mlipuko wa moto katika kituo cha mafuta, Accra Ghana umeua watu 96 na uchunguzi zaidi unaendelea.

Polisi wamezungushia uzio eneo hilo kwa sababu za usalama zaidi na kuchunguza idadi kamili ya watu waliopata madhara kutokana na mlipuko huo wa moto na kubaini chanzo chake. 
Hata hivyo mlipuko huo uliotokea baada ya mvua kubwa iliyosababisha mafuriko ya maji katika maeneo mengi ya mji wa Accra. 
Baadhi ya maeneo hayana umeme kutokana na kukatika kwa umeme,baadhi ya barabara hazipitiki kutokana na mafuriko hayo.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment