Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 18 June 2015

KENYA YAMSAKA MPIGANAJI WA AL SHABAAB RAIA WA UJERUMANI

Raia wa Ujerumani anayesakwa
Maafisa wa polisi nchini Kenya wametoa zawadi ya dola laki moja kwa mtu yeyote atakayemkamata raia wa Ujerumani anayetuhumiwa kuhusika katika shambulizi la kundi la Al Shabaab.

Andreas Martin Muller anadaiwa kuwa mmoja ya washambuliaji waliovamia kituo cha jeshi katika kaunti ya Lamu.
Wanamgambo 11 na wanajeshi wawili wa Kenya walifariki.
Raia mwengine wa Ulaya Thomas Evans kutoka Uingereza pia alishiriki katika uvamizi huo kabla ya kuuawa.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment