Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 1 June 2015

BAISKELI YAMVUNJA MGUU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI JOHN KERRY


John Kerry akiendesha baiskeli katika Milima ya Alps Ufaransa
Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Marekani John Kerry, amelazwa katika Hospitali moja mjini Geneva, baada ya kuvunjika mguu, katika ajali ya uendeshaji baiskeli kwenye milima ya Alps, nchini Ufaransa.

Amefutilia mbali ziara yake ya bara Ulaya na sasa atarejea nchini Marekani leo Jumatatu.
Bwana Kerry alikuwa ziarani Switzerland kwa mazungumzo kuhusiana na mpango wa nuklia wa Iran, lakini akaamua kwenda mapumziko kidogo ya kuendesha baiskeli katika milima ya Alps, na hapo ndipo alipopata ajali hiyo.
Alipangiwa kuzuru Madrid leo Jumatatu.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment