Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 25 May 2015

WAZIRI WA ZAMANI WA ISRAEL, OLMNERT AENDA JELA KWA UFISADI

Ehud Olmnert amehukumiwa miezi 8 jela kwa ufisadi.
Mahakama mjini Jerusalem imemhukumu waziri wa zamani wa Israeli Ehud Olmnert miezi 8 jela kutokana na mashtaka ya ufisadi.

Alipatikana na hatia mwezi machi kwa kupokea pesa kinyume cha sheria kutoka kwa mfanyibiashara mmoja kutoka Marekani miaka ya 90.
Mwaka uliopita Olmert alihukumiwa miaka 6 jela kwa makosa ya ufisadi.
Anabaki kuwa huru ahadi pale atakapo kata rufaa kwa hukumu hizo zote.
Bwana Olmert alilazimishwa kujiuzulu miaka sita iliyopita na kutoa nafasi ya kuchaguliwa kwa waziri mkuu mweye msimao mkali Benjamin Netanyahu.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment