Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 11 April 2015

OBAMA APEANA MKONO NA RAIS CASTRO WA CUBA


Rais wa Panama kushoto,Raul Castro wa Cuba katikati na Barrack Obama wa Marekani kulia
Marais wa Marekani na Cuba wameamkuana kwa mikono na kuzungumza kwa muda mfupi wakati wa kuanza kwa mkutano wa nchi za Amerika ambayo ni ishara ya uhusiano uliopo kati ya nchi hizo mbili.

Rais Obama na mwenzake RaulCastro wanatarajiwa kuwa na mazungumzo ya kihistoria nchini Panama leo jumamosi ambayo ni mazungumzo ya kwanza ya aina hiyo kati ya viongozi wa Marekani na Cuba kwa zaidi ya miaka 50 iliyopita.
Mapema rais Obama alisema kuwa Marekani inafungua ukurasa mpya wa uhusiano kati yake na Cuba na ana matumaini kuwa utasaida watu wa Cuba kufanya uamuzi wao siku za usoni.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment