Pages

Pages

Pages

Friday 17 April 2015

LIGI YA WANAWAKE MKOA WA DAR ES SALAAM KUANZA JUMAPILI HII

Michuano ya soka kwa ligi ya wanawake mkoa wa Dar es salaam inaanza kutimua vumbi jumapili hii ya April 19/2015,kwa vilabu mbalimbali kuchuana vikali kuuwania ubingwa huo.
Kwa mujibu wa kamati ya mashindano ya chama cha soka mkoa wa Dar es salaam DRFA,maandalizi kuelekea michuano hiyo yamekamilika ikiwa ni pamoja na viongozi wa vilabu husika kupewa kanuni na taratibu zitakazotumika katika mashindano.
Jumla ya vilabu vinane (8) vitashiriki katika ligi hiyo ya wanawake,ambavyo ni SIMBA QUEENS,REAL TANZANITE,TEMEKE SQUAD,EVER-GREEN QUEENS,JKT QUEENS,LULU QUEENS,MBURAHATI QUEENS na UZURI QUEENS.
Mechi ya ufunguzi itazikutanisha timu za Temeke Squad dhidi ya Ever-Green Queens,itakayopigwa katika uwanja wa Mwalimu Nyerere Kinondoni jijini Dar es salaam Jumapili ya April 19.
 
RATIBA::::
 19.04.20151TEMEKE SQUAD Vs EVER-GREEN QUEENBANDARI/KARUMETEMEKE/ILALA
20.04.20152JKT QUEENS Vs LULU QUEENSMWALIMU NYEREREKINONDONI
21.04.20153UZURI QUEEN Vs MBURAHATI QUEENMWALIMU NYEREREKINONDONI
22.04.20154SIMBA QUEENS Vs REAL TANZANITEKARUMEILALA
23.04.20155UZURI QUEEN Vs JKT QUEENSMWALIMU NYEREREKINONDONI
24.04.20156MBURAHATI QUEEN Vs LULU QUEENSMWALIMU NYEREREKINONDONI
25.04.20157SIMBA QUEENS Vs TEMEKE QUEENSKARUMEILALA
 26.04.20158REAL TANZANITE Vs EVER-GREEN QUEENKARUMEILALA
27.04.20159LULU QUEENS Vs UZURI QUEENSMWALIMU NYEREREKINONDONI
28.04.201510MBURAHATI QUEEN Vs JKT QUEENSKARUMEILALA
29.04.201511EVER-GREEN QUEENS VS SIMBA QUEENSKARUMEILALA
30.04.201512TEMEKE SQUAD VS REAL TANZANITEKARUMEILALA
01.05.201513EVER-GREEN QUEENS VS MBURAHATI QUEENKARUMEILALA
02.05 201514JKT QUEENS VS REAL TANZANITEMWALIMU NYEREREKINONDONI
 03.05.201515SIMBA QUEENS Vs LULU QUEENSKARUMEILALA
04.05.201516UZURI QUEEN Vs TEMEKE QUEENSKARUMEILALA
07.05.201517LULU QUEENS Vs EVER-GREEN QUEENKARUME ILALA
08.05.201518JKT QUEENS Vs SIMBA QUEENSKARUMEILALA
09.05.201519MBURAHATI QUEEN Vs TEMEKE QUEENSKARUMEILALA
10.05.201520REAL TANZANITE Vs UZURI QUEENSMWALIMU NYEREREKINONDONI
         
 
 
IMETOLEWA NA CHAMA CHA SOKA MKOA WA DAR ES SALAAM,DRFA
Omary Katanga,Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano,DRFA.

No comments:

Post a Comment