CHIKAWE AKABIDHI MIFUKO YA SARUJI 900 WILAYA YA NACHINGWEA KUJENGA MAABARA SHULE ZA SEKONDARI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (wapili kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Pololet Mgema msaada wa mifuko 900 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa Maabara za Shule za Sekondari wilayani humo. Tukio hilo la makabidhiano lilifanyika mjini Nachingwea leo. Picha zote na Felix Mwagara.

No comments:
Post a Comment