Pages

Pages

Pages

Thursday 11 December 2014

BALOZI WA MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Displaying PIX 1.JPG
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wa pili kulia) akimkaribisha Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress (kulia) pamoja na maofisa wa ubalozi huo, ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Waziri Chikawe na Balozi huyo walizungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na Ofisi ya Balozi huyo nchini. 

Displaying PIX 2.JPG
Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress (kulia) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Ubalozi wa Marekani na wizara.
Displaying PIX 3.JPG
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na Ofisi ya Balozi huyo nchini. Balozi Childress alimtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. 
Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

Post a Comment