Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 17 November 2014

DKT. ADELHELM JAMES MERU AAPISHWA KUWA KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

PIX 1 
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Gharib Bilal (kushoto) akimuapisha Dkt. Adelhelm Meru kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.PIX 2 Dkt. Adelhelm Meru (kulia) akila kiapo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.PIX 3 Dkt. Adelhelm Meru (kulia) akiweka saini katika Kitabu mara baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.PIX 4 
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Gharib (kushoto) akiweka saini katika kitabu mara baada ya kumuapisha Dkt. Adelhelm Meru kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.PIX 5
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Gharib (kushoto) akimkabidhi kitabu Dkt. Adelhelm Merumara baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment