Pages

Pages

Pages

Monday 17 November 2014

BREAKING NEWS: WANANCHI WAJERUHIWA MBANDE, DAR KWA MGOGORO WA ARDHI

IGP Ernest Mangu

Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kwamba kuna mapigano katika Kijiji cha Mbande mkoani Dar es Salaam yaliyosababishwa na mgogoro wa ardhi.
Mpashaji wetu anasema wananchi wa jamii ya Wakurya wamevamia mashamba na nyumba za watu na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa.

No comments:

Post a Comment