Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 7 November 2014

ANGELA KIRIA-MBEGA NDIYE BALOZI MPYA WA YESU!

 Bi. Angela Kiria-Mbega akiwa studio kurekodi 'single' yake ya Injili. Historia ya Balozi huyu mpya wa Yesu Kristo imekumbwa na changamoto nyingi sana - kutoka Madrasa hadi kuimba Injili siyo kazi rahisi kwa nguvu za kibinadamu bali ni Utukufu wa Mungu.

Prodyuza Emmanuel Kaduma wa studio za Sound Level Production akiwa makini kuhakikisha vocal zinaingia kwa usahihi. Jiandaeni kusikiliza kazi za mwinjilisti huyo mpya. Habari za Mwinjilisti huyu mtazipata hapa hapa kwenye blogu hii. Subirini...

No comments:

Post a Comment