Pages

Pages

Pages

Monday 27 October 2014

WABONGO SI MNAPENDA KUIGA?! HAYA IGENI NA TATTOO HIZI...!

 Watanzania wanapenda sana kuiga tamaduni za Kimagharibi ndiyo maana hata akina dada hivi sasa wanatumia gharama kubwa kutengeneza makalio yao, matiti na matumbo ili yaonekane kama ya wasanii wa Marekani.

Vijana wa kiume nao siku hizi wanaingia kwenye vituo vya mazoezi na wengine wanatumia vidonge maalum vya kutunisha misuli ili kujenga maumbile yao yawe ya miraba minne!
Siyo ajabu sasa wanakimbilia kwenye ndoa za jinsia moja - hii pia ikiwahusisha na vijana wa kiume ambao ni mashoga.
Pengine wanaweza kuiga na michoro (tattoo) hizi ili waonekane ni wa kisasa! Shida tupu! 
 

No comments:

Post a Comment