Pages

Pages

Pages

Sunday 3 August 2014

UMEZIONA PETE ZA UCHUMBA ZA MASTAA HAWA?!

The Very Best Celebrity Engagement Rings

Hivi karibuni George Clooney alifunga uchumba na mwanasheria wa Uingereza Amal Alamuddin huku akimvisha pete kubwa ya uchumba yenye uzito wa carat 7. Mwanadada huyo akaionyesha pete yake kwa mara ya kwanza wakati alipohudhuria sherehe ya kuzaliwa ya rafiki yake Rande Gerber jijini Los Angeles mwezi Aprili. Lakini mbali ya Amal, wapo mastaa wengi ambao yawezekana pete zao za uchumba hujaziona.
Hebu tazama hapa:

Amal Alamuddin

No comments:

Post a Comment