Pages

Pages

Pages

Tuesday 12 August 2014

TEMEKE YAANZA AIRTEL RISING STARS KWA KISHINDO

Mshambuliaji wa timu ya vijana ya Temeke, Omary Rajabu (kushoto) akiwania mpira na beki wa timu ya vijana ya Mbeya Philipo Edson katika mchezo wa mashindano ya Airtel Rising Stars ngazi ya Taifa kwenye uwanja wa Karume.
????????
Mshambuliaji wa wa timu ya vijana ya Temeke, Sihaba Salehe (jezi nyekundu) akiwania mpira na kipa wa timu ya vijana ya Mbeya, Kelvin Dismas (kulia) na beki Yusufu Hongoli katika mchezo wa mashindano ya Airtel Rising Stars ngazi ya Taifa.
????????
Mshambuliaji wa timu ya vijana ya Temeke, Haruna Ally (kushoto) akiwania mpira na beki wa timu ya vijana ya Mbeya,Yusufu Hogoli katika mchezo wa mashindano ya Airtel Rising Stars ngazi ya Taifa.
????????
Mshambuliaji wa timu ya vijana ya Temeke, Haruna Ally (kushoto) akiwania mpira na beki wa timu ya vijana ya Mbeya, Yusufu Hogoli katika mchezo wa mashindano ya Airtel Rising Stars ngazi ya Taifa.
????????
Mshambuliaji wa timu ya vijana ya Temeke, Haruna Ally (kushoto) akiwania mpira na beki wa timu ya vijana ya Mbeya, Yusufu Hogoli katika mchezo wa mashindano ya Airtel Rising Stars ngazi ya Taifa.
????????
Mshambuliaji wa wa timu ya vijana ya Temeke, Siaba Salehe (jezi nyekundu) akiwania mpira na beki wa timu ya vijana ya Mbeya,Yusufu Hongoli (jezi namba 6) katika mchezo wa mashindano ya Airtel Rising Stars ngazi ya Taifa huku mwenzake Elia Salengo (jezi namba 13) akijiandaa kumsaidia.
CREDIT: FULLSHANGWEBLOG

No comments:

Post a Comment