Pages

Pages

Pages

Friday 15 August 2014

KWA WADADA: UNATAKA TUMBO LAKO LIWE FLAT? FANYA HIVI - 11

MAZOEZI YA MOYO NA PUMZILeo ni siku ya 11 ya kupeana mbinu za mazoezi ya kupunguza unene wa tumbo. Tunachoweza kukizungumza leo ni kuhusu mazoezi ya moyo na pumzi ambayo yamelenga kupunguza unene wa tumbo na kulifanya liwe flat.Mazoezi haya yanahusisha pia kuruka kamba na mazoezi mengineyo ili kuyeyusha mafuta. Zoezi hili ni la dakika 20.Tafadhali, chapisha maelekezo haya chini ili yawe mwongozo wako.

Tumia Salad

Salad hii ina wingi wa nyuzi nyuzi, madini ya chuma, na Vitamin C, hivyo ukichanganya na mazoezi utakayoyafanya, hakika afya yako haiwezi kuteteleka lakini pia mafuta yatapungua kwa kiasi kikubwa.

No comments:

Post a Comment