Chanzo: Corbis
Dakika 30 za mazoezi ya pumzi na dakika 10
Leo ni siku ya sita ya mfululizo wa mazoezi au mbinu za mazoezi
yatakayokufanya ewe mwanamama ulipunguze tumbo lako liwe flat na kukufanya
upendeze - pengine kuliko ulivyo sasa.
Kama uko kwenye gym chaguo zoezi lolote linaloweza kukufanya
uongeze pumzi kama vile kukimbia, kuendesha baiskeli, kuogelea na kudansi na
hakikisha kwamba unalifanya zoezi hilo kwa umakini mkubwa na kwa kasi ile ile
kwa kipindi cha nusu saa.
Pata cream ya Strawberry na Ndizi
No comments:
Post a Comment