Pages
(Move to ...)
Home
KILIMO ENDELEVU
KILIMO HAI
CONTACTS US
▼
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Monday 28 July 2014
SIYO WASAGAJI HAWA, WALA HAWAJAOPOA MASHUGA MUMMY.... NANI KAMA MAMA?!!
Mtoto kwa mama hakui! Ndivyo wanavyosema Wahenga, na hili linadhihirishwa na mastaa kibao ulimwenguni ambao wamekuwa wakionyesha upendo wao wa dhati kwa mama zao kama picha hizi zinavyoonyesha.
Miley Cyrus
Miley Cyrus
akiwa katika pozi la upendo na mama yake, Tish, katika sherehe mojawapo ya Oscars mwezi Februari 2013.
Chanzo:
Getty
Jay Z
Jay Z 'hajaopoa' bali amekumbatia mama yake, Gloria Carter, katika tukio la hisani mwezi Septemba 2011.
Chanzo:
Getty / Jamie McCarthy
Justin Timberlake
Mama yake
Justin Timberlake
, Lynn Harless, alimsindikiza mwanaye kwenye sherehe za tuzo za Oscars mwaka 2011.
Chanzo:
Getty
Brad Pitt
Brad Pitt
alikwenda na mama yake, Jane, kwenye zulia jekundu wakati wa Tuzo za Oscars 2012.
Chanzo:
Getty
Jared Leto
Mama mrembo wa
Jared Leto
, Constance, aliongozana naye kwenye Tuzo za SAG mwezi Januari 2014.
Chanzo:
Getty / Frederick M. Brown
Usher Raymond
Usher
aliongozana na mamaye, Jonetta Patton, kwenye Tuzo za MTV European Music mwaka 2004.
Chanzo:
Getty / KMazur
Leonardo DiCaprio
Leonardo DiCaprio
alikuwa na mama yake, Irmelin, kwenye sherehe pale
Vanity Fair
baada ya tuzo za Oscars mwezi Machi 2014.
Chanzo:
Getty
Kate Hudson
kumbe
Kate Hudson
kautoa urembo kwa mama yake,
Goldie Hawn
. Cheki hapa wanavyopendeza wakati wa Chakula cha Usiku cha Waandishi wa Habari wa Ikulu mwaka 2012.
Chanzo:
Getty
Ryan Gosling
Ryan Gosling
kila wakati huongozana na mama yake, Donna, kwenye matukio mbalimbali. Wawili hao wanaonekana wakitabasamu wakati wa uzinduzi wa filamu ya
The Ides of March
mwaka 2011.
Chanzo:
Getty
Katie Holmes
Katie Holmes
na mama yake, Kathleen, walihudhuria shoo ya
Max Mara
wakati wa Wiki ya Urembo ya Milan 2011.
Chanzo:
Getty
Lupita Nyong'o
Lupita Nyong'o aliongozana na mama yake, Dorothy, wakati wa sherehe za Independent Spirit Awards mwezi Machi 2014.
Chanzo:
Getty / Jason LaVeris
Gwyneth Paltrow
Blythe Danner akimbusu binti yake
Gwyneth Paltrow
wakati wa tukio la hisani jijini New York mwaka 2008.
Chanzo:
Getty
Charlize Theron
Charlize Theron
akipozi na mama yake, Gerda, kwenye zulia jekundu mwaka 2009.
Chanzo:
Getty
Beyoncé Knowles
Beyoncé Knowles na mama yake, Tina, wakitembea pamoja Septemba 2011 wakati wa uzinduzi wa bidhaa zao pale House of Deréon.
Chanzo:
Getty
Jessica Simpson
Jessica Simpson
na mama yake, Tina, katika pozi wakati wa uzinduzi wa mavazi yake mwaka 2010.
Chanzo:
Getty
Scarlett Johansson
Scarlett Johansson
alikwenda na mama, Melanie, kwenye sherehe za baada ya tuzo za Tony Awards mwaka 2004 jijini New York.
Chanzo:
Getty
Gisele Bündchen
Gisele Bündchen akiwasili New York na mama yake, Vania Nonnenmacher, katika uzinduzi wa filamu ya
Taxi
mwezi Oktoba 2004.
Chanzo:
Getty
Britney Spears
Britney Spears
na mama yake, Lynne, walihudhuria uzinduzi wa filamu ya
Four Feathers
mwezi Septemba 2002.
Chanzo:
Getty / Jeff Kravitz
David Beckham
David Beckham
akiwa na mama yake, Sandra, wakati wa mechi ya La Liga nchini Hispania Januari 2007.
Chanzo:
Getty
Sienna Miller
Sienna Miller
akimbusu mama yake, Jo, Juni 2007 wakati wa Tuzo za
Glamour
Women of the Year jijini London.
Chanzo:
Getty
Jennifer Lopez
Jennifer Lopez
akiwa na mama yake, Guadalupe, wakati wa Tuzo za 10 za ACE Oktoba 2006.
Chanzo:
Getty
Eva Longoria
Eva Longoria
alikwenda na mama yake, Ella, wakati wa Tuzo za ALMA mwezi Septemba 2013.
Chanzo:
Getty / Jeffrey Mayer
Kim Kardashian
Kim Kardashian
na mama yake, Kris Jenner, walihudhuria tukio la
Hollywood Reporter
's Women in Entertainment mwezi Desemba 2013.
Chanzo:
Getty / Jon Kopaloff
Rachel Bilson
Rachel Bilson
alikuwa na mama yake, Janice, wakati wa uzinduzi wa filamu ya
Last Kiss
jijini Los Angeles mwezi Septemba 2006.
Chanzo:
Getty
Hilary na Haylie Duff
Hilary Duff
na Haylie Duff walihudhuria uzinduzi wa filamu ya
Material Girls
jijini New York wakiwa na mama yao, Susan, mwezi Agosti 2006.
Chanzo:
Getty
Ryan Seacrest
Ryan Seacrest
alitunikiwa nyota moja kwenye orodha ya Hollywood Walk of Fame mwezi Aprili 2005 huku mama yake, Connie, akishuhudia.
Chanzo:
Getty
Tom Cruise
Tom Cruise
alikwenda na mama yake, Mary, kwenye Tuzo za Golden Globe mwezi Januari 2011.
Chanzo:
Getty
Kate Moss
Kate Moss
akiwa na mama yake, Linda, kwenye tukio la
Rimmel
jijini London Septemba 2011.
Chanzo:
Getty / Dave M. Benett
Zoe Saldana
Zoe Saldana
na mama yake, Asalia Nazario, wakifurahia Juni 2010 wakati wa Tuzo za Crystal + Lucy jijini Los Angeles.
Chanzo:
Getty / Gregg DeGuire
Taylor Swift
Taylor Swift
na mama yake, Andrea, walikuwa pamoja kwenye Tuzo za Grammy Januari 2010.
Chanzo:
Getty / Kevin Mazur
Channing Tatum
Channing Tatum
alihudhuria uzinduzi wa filamu ya
Fighting
jijini New York akiwa na mama yake, Kay, mwezi Aprili 2009.
Chanzo:
Getty
Jennifer Garner
Jennifer Garner
na mama yake, Pat, walihudhiria mkutano na waandishi wa habari katika uzinduzi wa Ripoti ya Hali ya Akinamama Duniani (State of the World's Mothers Report) kwenye ukumbi wa Rosemont Center mwezi Mei 2009.
Chanzo:
Getty
Joaquin Phoenix
Mama wa
Joaquin Phoenix
, Arlyn, alikuwa pembeni ya mwanawe wakati wa Tuzo za Golden Globes mwezi Januari 2014.
Chanzo:
Getty / Michael Kovac
Jonah Hill
Jonah Hill
alikuwa na kampani ya nguvu ya mama yake, Sharon, wakati wa tuzo za Oscars Machi 2014.
Chanzo:
Getty / Ethan Miller
Miranda Kerr
Miranda Kerr
akiwa na mama yake, Therese, katika tukio la David Jones Spring/Summer Collection Launch huko Sydney, Australia mwezi Agosti 2009.
Chanzo:
Getty
Michael Fassbender
Michael Fassbender alikuwa na mama yake, Adele, pembeni yake wakati wa Tuzo za Oscars mwezi Machi 2014.
Chanzo:
Getty / Ethan Miller
Lorde
Lorde yuko na mama yake, Sonja, katika pozi zito wakati waliponyakua tuzo mbili za Grammy mwezi Januari 2014.
Chanzo:
Getty / Kevin Mazur
Blake Lively
Blake Lively
akifurahi na mama yake, Elaine, wakati wa Tuzo za 61 za Primetime Emmy Awards mwezi Septemba 2009.
Chanzo:
Getty
Drake
Mama wa Drake, Sandi Graham, aliungana na mwanaye kwenye zulia jekundu wakati wa Tuzo za Juno jijini Toronto, Canada mwezi Machi 2011.
Chanzo:
Getty / George Pimentel
Anne Hathaway
Anne Hathaway
na mama yake, Kate McCauly, wakikumbatiana nyuma ya jukwaa wakati wa tukio la hisani Aprili 2005 jijini New York.
Chanzo:
Getty
Kathy Griffin
Kathy Griffin na mama yake, Maggie, katika pozi la pamoja kwenye zulia jekundu mwezi Agosti 2010.
Chanzo:
Getty
Matt Damon
Kumbe
Matt Damon
anafanana na mama yake, Nancy! Cheki walivyopendeza wakati wa uzinduzi wa filamu ya
Stuck on You
mwezi Desemba 2003.
Chanzo:
Getty
Matthew McConaughey
Matthew McConaughey
akila pozi na mama yake, Mary, wakati wa uzinduzi wa filamu ya
Two for the Money
mwezi Septemba 2005.
Chanzo:
Getty
Johnny Depp
Mama wa
Johnny Depp
, Betty Sue Palmer, alikuwa pembeni yake wakati wa uzinduzi wa filamu ya
Nick of Time
jijini Los Angeles mwezi Novemba 2005.
Chanzo:
Getty / Barry King
Jennifer Lawrence
Jennifer Lawrence akimkumbatia mama yake, Karen, kabla ya kupanda jukwaani kupokea tuzo yake ya Oscar mwezi Februari 2013.
Chanzo:
Getty / Kevin Winter
Lena Dunham
Lena Dunham akimkumbatia kwa furaha mama yake, Laurie Simmons, wakati wa tuzo za Emmy mwezi Septemba 2013.
Chanzo:
Getty / Jason LaVeris
Halle Berry
Halle Berry
na mama yake, Judith, wakiwa na tabasamu pana katika sherehe za
Ebony
's Pre-Oscar Celebration mwezi Februari 2007.
Chanzo:
Getty
Liam Hemsworth
Liam Hemsworth aliungana na mama yake mrembo, Leonie, wakati wa Kombe la Melbourne mwezi Novemba 2010.
Chanzo:
Getty / Graham Denholm
Sarah Jessica Parker
Sarah Jessica Parker
na mamaye, Barbra Forste, walihudhuria shoo ya Broadway Februari 2008.
Chanzo:
Getty / Bruce Glikas
Mary-Kate na Ashley Olsen
Mary-Kate na
Ashley Olsen
walitunukiwa nyota kwenye orodha ya Hollywood Walk of Fame mwezi Aprili 2004 wakiwa na dada yao, Elizabeth; kaka yao, Trent; na mama yao, Jarnette.
Chanzo:
Getty
Ben Affleck
Ben Affleck
akiwa na mama yake, Chris, kwenye sherehe ya
Jersey Girl
jijini New York Machi 2004.
Chanzo:
Getty
Ellen DeGeneres
Ellen DeGeneres
na mamaye, Betty, wakiwa na tuzo wakati wa Tuzo za 32 za Daytime Emmy Awards mwezi Mei 2005 kwenye Ukumbi wa Radio City Music Hall jijini New York.
Chanzo:
Getty
Justin Bieber
Justin Bieber na mamaye, Pattie, wakikumbatiana nje ya studio za
Late Show
mwezi Januari 2011.
Chanzo:
Getty
Liv Tyler
Liv Tyler
na mama yake, mwanamitindo wa zamani Bebe Buell, wakiwa wamekumbatiana wakati wa uzinduzi wa filamu jijini New York mwezi Juni 2011.
Chanzo:
Getty / Jim Spellman
Heidi Klum
Heidi Klum
na mamaye, Erna, wakila pozi wakati wa maonyesho ya tisa ya Victoria's Secret Fashion mwezi Novemba 2003.
Chanzo:
Getty
Frank Ocean
Frank Ocean alikwenda na mamaye, Katonya Breaux Riley, kwenye chakula cha usiku cha Jarida la Time kutimiza miaka 100 (
Time
100 Gala) jijini New York Aprili 2013.
Chanzo:
Getty / D Dipasupil
Kate Middleton
Kate Middleton akiwasilia katika Hoteli ya The Goring akiwa na mama yake, Carole, na mdogo wake, Pippa Middleton, mwezi Aprili 2011.
Chanzo:
Getty
Bradley Cooper
Bradley Cooper
alikwenda na mamaye, Gloria Campano, kwenye sherehe za tuzo za Oscar mwezi Februari 2013.
Chanzo:
Getty / Gregg DeGuire
Jake na Maggie Gyllenhaal
Jake na
Maggie Gyllenhaal
walikwenda na mama yao, Naomi Foner, kwenye uzinduzi wa filamu ya
Moonlight Mile
Septemba 2002 jijini Los Angeles.
Chanzo:
Getty
Carrie Underwood
Mama wa
Carrie Underwood
, Carole, alikuwa pembeni yake kwenye Tuzo za CMA mwezi Mei 2006.
Chanzo:
Getty / Jeff Kravitz
Molly Sims
Molly Sims na mama yake, Dorothy, waliketi mstari wa mbele kwenye shoo ya
Diane von Furstenberg
mwezi Februari 2008.
Chanzo:
Getty / Stephen Lovekin
Rihanna
Rihanna
akifurahia Tuzo yake ya American Music akiwa na mamaye, Monica Fenty, mwezi Novemba 2013.
Chanzo:
Getty / Kevin Mazur/AMA2013
Rachel Zoe
Wanamitindo
Rachel Zoe
na mamaye, Leslie Rosenweig, walikuwa pamoja jijini New York Septemba 2009 kwenye Usiku wa Mitindo (Fashion's Night Out).
Chanzo:
Getty
Lily Collins
Lily Collins alikwenda na mamaye, Jill, kwenye uzinduzi wa filamu ya Abduction huko Hollywood mwezi Septemba 2011.
Chanzo:
Getty
Melanie Griffith
Melanie Griffith na mamaye ambaye ni mwigizaji maarufu, Tippi Hedren, wakiwa wamependeza katika sherehe jijini Los Angeles mwezi Septemba 2012.
Chanzo:
Getty / Steve Granitz
Salma Hayek
Salma Hayek
na mamaye, Diana Jiménez Medina, wakiwa kwenye uzinduzi wa filamu ya Poseidon jijini Los Angeles mwezi Mei 2006.
Chanzo:
Getty / Jason Merritt
Nina Dobrev
Wanavyofanana, kama maharage vile!
Nina Dobrev
na mamaye, Michaela, walihudhuria sherehe za jarida la
Seventeen
mwezi Mei 2012.
Chanzo:
Getty / Jude Domski
Zoe Kravitz
Zoe Kravitz akikumbatiana na mama yake, Lisa Bonet, kwenye uzinduzi wa filamu ya
Conan the Barbarian
jijini Los Angeles Agosti 2011.
Chanzo:
Getty
Emma Stone
Emma Stone
na mamaye, Krista, walihudhuria sherehe za mwaka 2012 za Tuzo za People's Choice kwenye ukumbi wa
Nokia
Theatre jijini Los Angeles Januari 2012.
Chanzo:
Getty
Ryan Reynolds
Ryan Reynolds
akiwa na mama yake, Tammy, kwenye uzinduzi wa filamu ya
The Proposal
huko Hollywood Juni 2009.
Chanzo:
Getty
Selena Gomez
Selena Gomez
akitabasamu katika pozi na mama yake, Mandy, kwenye ukumbi wa
Vanity Fair
wakati wa sherehe za Oscar jijini Los Angeles Februari 2012.
Chanzo:
Getty
Vanessa Hudgens
Vanessa Hudgens
na mamaye, Gina, waliwasili New York kushuhudia uzinduzi wa filamu ya
Spring Awakening
mwezi Agosti 2007.
Chanzo:
Getty
Katherine Heigl
Katherine Heigl
alikuwa na tabasamu pana na mamaye, Nancy, Oktoba 2008 kwenye ufunguzi wa duka la mitindo la Peter Alexander jijini Los Angeles.
Chanzo:
Getty
Gwen Stefani
Gwen Stefani
akimkumbatia mama yake, Patti, baada ya shoo yake ya LAMB Septemba 2005.
Chanzo:
Getty / KMazur
Julianne Hough
Julianne Hough akipigwa busu na mama yake, Marriann Nelson, Julai 2011 kwenye fukwe za Miami.
Chanzo:
Getty
Nicole Richie
Nicole Richie
na mamaye, Brenda, wakiwa katika pozi kwenye sherehe ya Fox mwaka 2004.
Chanzo:
Getty / Kevin Winter
Cate Blanchett
Cate Blanchett
na mamaye, June, walinaswa laivu wakati wa sherehe za AFI Awards mwaka 2006.
Chanzo:
Getty / Simon Fergusson
Lindsay Lohan
Lindsay na mamaye Dina Lohan wakiwa katika pozi wakati wa sherehe ya kuzaliwa ya Lindsay alipotimiza miaka 21 Julai 2007.
Chanzo:
Getty / Kevin Mazur
Katy Perry
Katy Perry
akimkumbatia mama yake, Mary Hudson, wakati wa uzinduzi wa albamu yake Juni 2008.
Chanzo:
Getty / Jesse Grant
Sean Combs 'P.Diddy'
Sean "
Diddy
" Combs alikwenda na mama yake, Janice, kwenye sherehe za Tuzo za Emmy Septemba 2008.
Chanzo:
Getty / Steve Granitz
George Clooney
Mama wa
George Clooney
, Nina Warren, aliongozana na mwanaye kwenye uzinduzi wa filamu ya
Ocean's Twelve
jijini Los Angeles Desemba 2004.
Chanzo:
Getty / Jon Kopaloff
Jessica Alba
Jessica Alba
na mamaye, Cathy, katika tukio mojawao Agosti 2005.
Chanzo:
Getty / J. Merritt
Colin Farrell
Colin Farrell
aliongozana na mamaye, Rita, jijini Los Angeles kwenye uzinduzi wa filamu ya
Miami Vice
mwezi Julai 2006.
Chanzo:
Getty / Jon Kopaloff
Kelly Osbourne
Kelly Osbourne akifurahia jambo na mama yake, Sharon, katika tukio moja Agosti 2011.
Chanzo:
Getty / Jason Merritt
Paris Hilton
Paris Hilton
alikuwa na mama yake, Kathy, wakati wa sherehe baada ya tuzo za Golden Globes Januari 2012.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment