Pages

Pages

Pages

Monday 28 July 2014

EID MUBARAK NJEMA!

Brother Danny5 Blog inawatakia Waislamu kote ulimwenguni heri na fanaka ya sikukuu ya Eid el-Fitr.
Mwenyezi Mungu awajazi rehema tele katika kipindi hiki na milele; azitakabali dua zenu mlizomtolea katika kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan; Azidi kuwapa neema katika yale yote mnayoyanuia na aongeze upendo miongoni mwenu na jamaa zenu kote ulimwenguni. Wote semeni Insha-Allah!

No comments:

Post a Comment