Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein na Balozi wa Korea Nchini Tanzania Bw.IL
Chung (katikati) wakikjata utepe kuashiria uzinduzi wa Skuli ya
Maandalizi Chekechea Kijiji cha Cheju Mkoa wa Kusini Unguja,iliyojengwa
kupitia Mradi wa SAEMAUL UDONG kutoka Shirika la misaada la koika
nchini Korea,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma
Shamuhuna,(kutoka kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa
na Idara Maalum za SMZ Haji Omar Kheir na Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja
Dk.Idriss Muslim Hija.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein akipeana mkono na Balozi wa Korea Nchini Tanzania Bw.IL Chung baada ya kuzindua rasmi Skuli
ya Maandalizi Chekechea Kijiji cha Cheju Mkoa wa Kusini
Unguja,iliyojengwa kupitia Mradi wa SAEMAUL UDONG kutoka Shirika la
misaada la koika nchini Korea,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa Skuli ya Maandalizi ya katika
Kijiji cha Cheju Kyung-AE Lim (Mama Imu) kupitia mradi wa SAEMAUL UDONG kutoka
Korea, wakati alipotembelea madarasa katika Skuli hiyo baada ya
kuizindua leo,ujenzi wa skuli hiyo umejengwa kwa msaada wa Shikrika la
misaada la Koika katika Jamhuri ya watu wa Korea. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa Skuli ya Maandalizi ya katika
Kijiji cha Cheju Kyung-AE Lim (Mama Imu) kupitia mradi wa SAEMAUL UDONG kutoka
Korea, wakati alipotembelea sehemu mbali mbali katika Skuli hiyo baada
ya kuizindua leo,ujenzi wa skuli hiyo umejengwa kwa msaada wa Shikrika
la misaada la Koika katika Jamhuri ya watu wa Korea. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein akipanda mche wa Mti aina ya Muembe baada ya kuzindua rasmi Skuli ya Maandalizi ya katika Kijiji cha Cheju Mkoa wa Kusini Unguja kupitia mradi wa SAEMAUL UDONG,iliyojengwa kwa msaada wa Shikrika la misaada la Koika katika Jamhuri ya watu wa Korea,(kushoto) Naibu katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Nd,Juma Ali Juma. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein akipokea zawadi kutoka Kyung-AE Lim (Mama Imu) msimamizi wa Skuli ya Maandalizi ya katika Kijiji cha Cheju Mkoa wa Kusini Unguja kupitia mradi wa SAEMAUL UDONG kutoka Korea katika hafla ya uzinduzi wa Skuli hiyo leo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna, alipokuwa akimkaribisha Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein
kuzungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa Skuli ya Maandalizi ya
Kijiji cha Cheju Mkoa wa Kusini Unguja kupitia Mradi wa SAEMAUL UDONG kutoka Jamhuri ya watu wa Korea.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein
alipokuwa akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa Skuli ya
Maandalizi ya Kijiji cha Cheju Mkoa wa Kusini Unguja leo kupitia Mradi
wa SAEMAUL UDONG kutoka Jamhuri ya watu wa Korea.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein
alipokuwa akisalimiana na Watoto baada ya kuzungumza na wananchi wakati
wa uzinduzi wa Skuli ya Maandalizi ya Kijiji cha Cheju Mkoa wa Kusini
Unguja leo kupitia Mradi wa SAEMAUL UDONG kutoka Jamhuri ya watu wa Korea.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
No comments:
Post a Comment