Pages

Pages

Pages

Saturday 19 July 2014

ODAMA ASEMA HAKWENDA NJE KUFANYA UFUSKA!

Mwigizaji wa filamu za kibongo Jennifer Kyaka ‘Odama’

Mwigizaji Jennifer Kyaka 'Odama' amekausha taarifa mbalimbali zinazowahusu wasanii na kusema kwamba hakwenda nje kufanya ufuska.
Hali hiyo imetokana na taarifa zilizosambaa kwa muda mrefu kwamba waigizaji na wasanii wengi wa muziki wamekuwa wakienda nje, hasa Mashariki ya Mbali, kwania ya kufanya ukahaba ili kujiongezea kipato.
HABARI KAMILI HII HAPA: ODAMA: SIKWENDA NJE KUJIUZA

No comments:

Post a Comment