Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 18 July 2014

KOMBE LA DUNIA LAIPOROMOSHA ENGLAND

Wachezaji mahiri wa England kama Rooney walishindwa kung'ara katika kombe la dunia
Timu ya Uingereza imeshuka ngazi ya orodha ya Fifa hadi nambari 20, nafasi ya chini zaidi tangu miaka ya 90.
Kushuka huko kwa karibu nafasi 10 chini huenda kumetokana na kufanya vibaya kwenye fainali za Kombe la Dunia zilizomalizika hivi karibuni nchini Brazil.
Sasa wako nyuma ya timu kama Bosnia-, Costa Rica hata Marekani.Hii ni baada ya matokeo mabovu katika kombe la dunia Brazil 2014.
Uhispania imeshuka kutoka namba moja hadi nane.
Bila shaka vinara ni ujerumani na nafasi nyingi kwenye kumi bora zimenyakuliwa na timu za mataifa ya Marekani kusini. Argentina, Brazil, Colombia, Uruguay , Costa rica na kadhalika.
BBC

No comments:

Post a Comment