Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 18 July 2014

KIJANA AMKATA MAPANGA MTOTO WA BOSI NA KULA UBONGO, ATAFUNA NA UUME WAKE!

KUNRADHI KWA PICHA. 

Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa maiaka 20-2y5 alikuwa (houseboy) amemkata kichwa mtoto wa shule wa boss wake kisha kupasua kichwa na kuanza kula ubongo. Muda kidogo akakutwa ameukata umme wake nao anaula kwa mujibu wa chanzo kulilichonitumia hii taarifa ni kwamba imetokea huko Marangu Moshi leo mida ya saa 3. Polisi bado inachunguza nini hasa kilisababisha kijana huyo kufikia uamuzi huo. Mungu ailaze roho ya mtoto mahala pema peponi

 
 

CHANZO: WANABIDII

No comments:

Post a Comment