Pages

Pages

Pages

Thursday 24 July 2014

AFARIKI DUNIA KWA KUZIDIWA NA UTAMU WA MAPENZI

Kijana mmoja nchini Malawi Fletcher Jere (26) amefariki dunia kutokana na kuzidiwa utamu wakati akifanya ngono na kahaba mmoja mjini Blantyre.
Gazeti la Daily Times nchini Malawi limeripoti kuwa kijana huyo alinunua kahaba huyo maeneo ya Ndirabe katikati ya jiji la Blantyre.
Afisa wa Polisi mjini Blantyre Bi.Edina Ligowe amesema Jerre alikufa kutokana na kuwa na hisia za juu sana pamoja na kuhisi utamu iliopitiliza wakati akifanya ngono na kahaba huyo (sexual excitement and sweetness).
Aidha Afisa huyo amesema kuwa kahaba huyo hatafunguliwa mashtaka yoyote kwa sababu hakuna kosa alilofanya kwa yeye kuwa mtamu kupitiliza. "She committed no crime by being too sweet to the man"
CREDIT: WANABIDII

No comments:

Post a Comment