Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday, 15 June 2014

WABUNGE DODOMA WAMFAGILIA FILIKUNJOMBE WASEMA AMEVUNJA REKODI KUPELEKA WAGENI WENGI BUNGENI

Mbunge wa  jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe wa nne  kushoto akiwa na wanahabari na viongozi wengine mjini Dodoma
Mbunge Filikunjombe mwenye suti na tai nyekundu katikati akiwa na wageni wake mjini Dodoma
Waziri mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na wageni wa mbuge Filikunjombe
Ujumbe kutoka kwa  mbunge Filikunjombe  ukiwa bungeni
Waziri mkuu Mizengo Pinda akiwa na ugeni wa  mbunge Filikunjombe
Mbunge Filikunjombe kushoto akiteta  jambo na waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa bunge
Mbunge   wa  jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akizungumza na timu ya ujumbe wake mjini Dodoma(picha na Francis Godwin Blog)

CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment