Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday, 15 June 2014

DEO FILIKUNJOMBE AANDAA SEMINA KWA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA LUDEWA

1aNaibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai akifungua semina ya wenyeviti, Makatibu na Makatibu Wenezi wa CCM wilaya ya Ludewa inayohusu masuala ya kuimarisha Chama na Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika jimbo la Ludewa ambalo linaongozwa na Mbunge wake Machachari na makini Mrh. Deo Filikumbjombe, Semina hiyo imeandaliwa na Mbunge wa jimbo hilo ambayo ilianza na ziara ya kimafunzo ya viongozi hao wa CCM wilaya ya Ludewa ambapo walianzia mjini Dodoma wakitembelea Bunge na Chuo Kikuu cha UDOM na kisha Dar  es salaam ambako wanahitimisha na Semina hiyo yenye manufaa makubwa kwa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa. (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)2aNaibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai akifungua semina ya wenyeviti, Makatibu na Makatibu Wenezi wa CCM wilaya ya Ludewa3aMwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ludewa Ndugu Stanley Kolimba akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai ili kufungua rasmi semina hiyo ya kimafunzo kwa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa.6aNaibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai akisalimiana na Matson Chizii Mkurugenzi wa Uchaguzi Mstaafu CCM ambaye alikuwa mkufunzi wa mafunzo hayo.7aNaibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai kulia akiongozana na Mbunge wa jimbo la Ludewa na muandaaji wa semina hiyo ya kimfunzo kwa viongozi wa CCM wilaya ya Ludewa Mh. Deo Filikunjombe.8aNaibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai kulia akiongozana na Mbunge wa jimbo la Ludewa na muandaaji wa semina hiyo ya kimfunzo kwa viongozi wa CCM wilaya ya Ludewa Mh. Deo Filikunjombe.10aMatson Chizii Mkurugenzi wa Uchaguzi Mstaafu CCM kulia akinyanya mkono juu wakati washiriki wa semina hiyo wakiimba wimbo maalum wa CCM  16aBaadhi ya washiriki wa semina hiyo  wakiimba wimbo18aBaadhi ya washiriki wakiwa katika  semina hiyo .


CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment