
Manywele! Nyota wa Manchester United , Marouane Fellaini akishangilia bao lake la kusawazisha .
Marouane Fellaini akitokea benchi ameifungia Ubelgiji bao la kusawazisha katika kipindi cha pili na kuiwezesha nchi yake kupata ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo wao wa ufunguzi wa kombe la dunia wa kundi H dhidi ya wawakilishi wengine wa Afrika, timu ya taifa ya Algeria.
Winga wa Chelsea, Eden Hazard ndiye aliyetengeneza bao la pili na la ushindi alilofunga Dries Mertens.

Marouane Fellaini c akishangilia bao lake.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
CHANZO FULL SHANGWE
No comments:
Post a Comment