
Nenda! Pepe alitolewa nje kwa kadi nyekundu na mwamuzi, Molirad Mazi.

Umechemka! Jose Mourinho amesema Pepe alikosea na anatakiwa kubadilika na kuwajibika.
Pepe alimpiga kichwa Muller wakati Ureno wakiwa nyuma kwa mabao 2-0.
BEKI wa kati , Pepe, aliingia katika malumbano makali na mshambuliaji wa Ujerumani, Thomas Muller na kuambulia kadi nyekundu Ureno ikipoteza mchezo wa kwanza kombe la dunia kwa kipigo cha mabao 4-0.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
CHANZO FULL SHANGWE
No comments:
Post a Comment