Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday, 19 June 2014

SEMINA YA MAKATIBU WA MIKOA NA MAKATIBU WASAIDIZI WA TUICO YAANZA RASMI JANA KATIKA HOTEL YA NEW SAVOY – MOROGORO.


Katibu mkuu wa TUICO taifa Bw. Boniface Y. Nkakatisi alipokuwa anafungua semina hiyo jana katika ukumbi wa New Savoy Hotel uliopo morogoro


Pichani ni makatibu wasaidizi wa TUICO wakiwa katika semina hiyo jana


Katibu wa TUICO mkoa wa Pwani Bw. Kassim Matewele akitoa hoja katika mkutano huo.


Katibu msaidizi wa mkoa wa Singida Bi. Halima Malenga akitoa hoja katika semina hiyo.

Nyuso za furaha, baadhi ya makatibu wasaidizi wa TUICO wakiwa katika semina hiyo.



Katibu wa TUICO kanda ya kaskazini Bw. Hussen Ngowi akitoa hoja katika semina hiyo iliyoanza jana


Kaimu katibu wa TUICO mkoa wa Kinondoni Bw. Kwijula Kajula (kushoto) akitafakari jambo katika semina hiyo


Pichani ni makatibu wasaidizi wa TUICO wakiwa katika semina hiyo jana.


Katibu mkuu wa TUICO taifa, Bw. Boniface Y. Nkakatisi (wa 5 kutoka kushoto kwa waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na makatibu wa mikoa na makatibu wasaidi wa Tuico kabla ya ufunguzi wa seminar hiyo inayofanyika katika ukumbi wa New Savoy Hotel – Morogoro, semina hiyo imeanza rasmi jana mnamo tarehe 18/06/2014 na inatarajiwa kuhitimishwa mnamo tarehe 27/6/2014

na Mwandishi wa Blogu yetu

No comments:

Post a Comment