
Sukuma: Armero akiwaonesha wachezaji wenzake sehemu ya kwenda kabla ya kuanza kucheza akishangilia bao lake .
LICHA ya kukosekana kwa mshambuliaji wao nyota Radamel Falcao,Colombia wameanza vizuri kombe la dunia baada ya beki wa kulia wa Napoli, Pablo Armero kuwafungia bao la kuongoza katika dakika ya 5 dhidi ya Ugiriki.
Shuti la Armero halikuwa kali kuliko tuliyoyaona siku tatu za ufunguzi, lakini staili yake ya kucheza akishangilia bao lake mbele ya benchi la Colombia ilikuwa nzuri na bora mpaka sasa, labda ndio inaweza kuwa kali zaidi katika mashindano ya mwaka huu.
Kutazama zaidi picha bofya www.bkmtata.blogspot.com
CHANZO FULL
SHANGWE
No comments:
Post a Comment