TIMU ya Taifa ya England `Simba watatu` imeanza vibaya kombe la dunia baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya timu ya Taifa ya Italia maarufu kwa jina la Azzuri mjini Manaus katika mchezo wa kundi D.
Italia walikuwa wa kwanza kuandika bao la kuongoza katika dakika ya 35 kupitia kwa Claudio Marchisio, lakini katika dakika ya 37, Daniel Sturridge aliisawazishia England bao hilo akiunganisha krosi nzuri iliyochongwa na Wayne Rooney kutoka wingi ya kushoto.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
CHANZO FULL
SHANGWE
No comments:
Post a Comment