Baadhi ya Viongozi
wa Idara za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wanaohudhuria kikao cha kuandaa
Mpango Kazi na Mpango wa Manunuzi wa Wizara hiyo katika Chuo cha Kanda cha
Uhamiaji mjini Moshi, (toka kulia)
Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga, Kamishna wa Fedha
na Lojistiki wa Jeshi la Polisi, Clodwig Mtweve, Kamishna wa Urekebishaji wa
Jeshi la Magereza, Deonice Chamulesile na Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Polisi,
Juma Mohamed.
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO
YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment