Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday, 11 June 2014

MAJESHI YA CONGO DRC NA RWANDA YAPAMBANA MASHARIKI MWA CONGO

Maafisa wakuu katika Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo wanasema kuwa makabiliano makali yalizuka mapema leo kati ya wanajeshi wa DRC na wanajeshi wa Rwanda.
Waziri wa mawasiliano, Lambert Mende, anasema kuwa makabiliano hayo yaliendelea kwa muda na kuendelea kwa saa kadhaa katika eneo la mpakani kati ya nchi hizo mbili.
Hadi sasa hapajakuwa na tamko lolote kutoka kwa upande wa Rwanda.Alisema makabiliano yalianza wakati wanajeshi wa Rwanda walipovuka na kuingia katika mkoa wa Kivu na kumkamata mwanajeshi wa Rwanda.
Serikali ya Rwanda imetuhumiwa na Umoja wa Mataifa kwa kuhusika na mzozo unaotokota katika mashariki ya Jamhuri ya Congo.
Rwanda imekanusha adai hayo.

BBCSWAHILI

No comments:

Post a Comment