Naam, mahindi kwa sasa katika soko la kimataifa la Kibaigwa yanapatikana kwa wingi. Ndio wakati wa mmoja kulia na mwingine kufurahia, yaani wakulima wanaweza kuugulia maumivu kwa bei kushuka kutokana na kipindi hiki cha mavuno, lakini kama wafanyabiashara wanajua yaliko masoko mazuri, basi wanaweza kufurahi.
Malori yakipakia mahindi sokoni tayari kuyasafirisha kwenye masoko mengine.
Ndiyo hali halisi ilivyo sokoni Kibaigwa.




No comments:
Post a Comment