
Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Argentina bao la pili.
LIONEL Messi ameifungia Aregentina bao katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Bosnia-Herzegovina.
Beki wa Bosnia, Sead Kolasinac alijifunga bao dakika ya tatu, na katika dakika ya 65, Messi alifunga bao la pili na la ushindi.
Bao la kusawazisha la Bosnia limefungwa na Vedad Ibisevic katika dakika ya 85.
Messi akipiga shuti na kutumbukiza mpira nyavuni.
Hapa chini ni vikosi vya mechi zote na viwango vya wachezaji. Alama zimetolewa chini ya 10.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
CHANZO FULL SHANGWE
No comments:
Post a Comment